Swahili

Ewe Marafiki Katika eneo la Afrika Mashariki tunapenda kuwaambia kuwa kipindi chetu " kiarabu kwa Redio " kinawafundisha watu lugha ya kiarabu , na msikilizaji yayote anapenda kujifunza lugha ya kiarabu , anuani yetu ni kama ifuatayo :
               Kiarabu kwa Redio
               S.L.P.325 , Cairo , Egypt .
Au , E-Mail :
       arabicbyradio@egyptradio.com

Na kipindi chatu yanatangazwa kupitia mita bendi 16 m/s 17810 kh/z kuanzia saa 16.20 hadi saa 16.35 kwa wakati wa G.M.T. kama yafuatayo :
          Daraja la kwanza yanatangazwa katika
                       Jumapili na Juma nne
              Daraja la pili yanatangazwa katika
                      Juma tatu na Juma tano
             Daraja la tatu yanatangazwa katika
          Al hamisi na Juma mosi katika kila wiki

Na katika siku ya ijumaa tunatangaza kipindi cha kujibu maswali ya wasikilizaji wetu .

Na tunawatumia wasikilizaji wetu vitabu vya kipindi chetu , na pamoja na vitabu hivyo tunawatumia mitihani ili waijibu mitihani hiyo , na tunawatumia wasikilizaji wanaofaulu mitihani hiyo shahada na zawadi .

                       Na tunawatakia kila la Mafani kio .

*************************************